MSANII mwenye umri mdogo ndani tasnia ya filamu Bongo, Elizabert Michael 'Lulu' juzikati picha zake za mapozi tofauti alizotupi kwenye Account yake ya Facebook, zilibambwa na Mateja20, na kuamua kuziweka kweupe ili wadau wangu, waweze kuona swagger, za mrembo huyu.
Lulu akionesha swagger zake namna hii.
... Kipozi zaidi
Akionyesha kishepu chake
Mambo ya kujiachia
Kimawazo zaidi
Eeh! kisafari zaidi na kiufunguo cha motokaa mkononi
Kama kalazimishwa hivi...?
Eeeeh! chakula cha mtoto hichooooooooo
Kama kaharibu mtaa flani hivi...
Mambo ya kiduku hayo
Mwanamke kitovu bhaanaaaaaaaaaa
Kama Shakira
.... utataka hiyo
Lulu akionesha swagger zake namna hii.
... Kipozi zaidi
Akionyesha kishepu chake
Mambo ya kujiachia
Kimawazo zaidi
Eeh! kisafari zaidi na kiufunguo cha motokaa mkononi
Kama kalazimishwa hivi...?
Eeeeh! chakula cha mtoto hichooooooooo
Kama kaharibu mtaa flani hivi...
Mambo ya kiduku hayo
Mwanamke kitovu bhaanaaaaaaaaaa
Kama Shakira
.... utataka hiyo
1 comments:
mwana umleavyo ndivyo akuwavyo,tusimlamu sana LULU tuone mama yake yukoje? nasikia mama yake hafai kabisa ni mlevi mbwa anaamkia kwenye baa mpaka anafukuzwa bar inataka kufungwa
Post a Comment