Social Icons

Thursday, August 4, 2011

SERIKALI YATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, akiwa katika kikao cha faragha na wamiliki wa vituo vya mafuta, mapema leo kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa wizarani hiyo jijini Dar es Salaam.

0 comments: