MSANII mwenye umri mdogo ndani tasnia ya filamu Bongo, Elizabert Michael 'Lulu' juzikati picha zake za mapozi tofauti alizotupi kwenye Account yake ya Facebook, zilibambwa na Mateja20, na kuamua kuziweka kweupe ili wadau wangu, waweze kuona swagger, za mrembo huyu. Lulu akionesha swagger zake namna hii.
... Kipozi zaidi Akionyesha kishepu chake Mambo ya kujiachia Kimawazo zaidi Eeh! kisafari zaidi na kiufunguo cha motokaa mkononi Kama kalazimishwa hivi...? Eeeeh! chakula cha mtoto hichooooooooo Kama kaharibu mtaa flani hivi... Mambo ya kiduku hayo Mwanamke kitovu bhaanaaaaaaaaaa Kama Shakira .... utataka hiyo
1 comments:
Anonymous
said...
mwana umleavyo ndivyo akuwavyo,tusimlamu sana LULU tuone mama yake yukoje? nasikia mama yake hafai kabisa ni mlevi mbwa anaamkia kwenye baa mpaka anafukuzwa bar inataka kufungwa
1 comments:
mwana umleavyo ndivyo akuwavyo,tusimlamu sana LULU tuone mama yake yukoje? nasikia mama yake hafai kabisa ni mlevi mbwa anaamkia kwenye baa mpaka anafukuzwa bar inataka kufungwa
Post a Comment