Social Icons

Tuesday, August 2, 2011

SHUMILETA, JINI KABULA WANASWA

Jini Kabula (kushoto), akiwa amembambia mzungu huyo, na Shosti wake Shumileta.

WAIGIZAJI mashuhuli wa filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja 'Shumileta' na Shostito wake Miriam Jolwa 'Jini Kabula' juzikati Mateja20, ilibahatika kunasa picha zao ambazo wamepiga katika pozi mbali mbali na vidume , ambapo haikuwa rahisi kuwapata na kuelezea jinsi picha hizo walikozipigia.
Shumileta, akiwa ameshikilia chakula cha mtoto katika pozi.
Jini Kabula naye hakuwa nyuma kujibu pozi la Shumileta.
Kabula Swagger zilianzia hapa...
Eeeh! bhanaa...
Hassani Moshi 'TX Junior' kushoto, akipozi la Kabula.
Nahisi hili ndiyo litakuwa pozi kongwe la Shumileta.
Shumileta na ... katika pozi.
Kabula ... siwezi kupitwa kama ishu ni mzungu hata ... huyu hapa bhamaaaaaaaa
Shumileta ... kama vipi nipe no... kabisa!
... Aah! namba tu usijali hata ungeomba simu ni ... kabisa


Aah! shosti ebu tuunde kitu cha pozi kama kujipongeza maana tayali wameshakamatika.
Aaaa ...


Kabla ya kwenda ... kitu cha ukumbusho mhimu bhana

Eeeh! ... ilikuwa ishu...

0 comments: