ZANZIBAR HEROERS YAAGA MASHINDANO YA TUSKER CHALLENGE CUP 2011 Mchezaji Amir Hamad wa Zanzibar Heroers akimtoka mchezaji wa timu ya Somalia Kassim Ali Mursal wakati timu hizo zilipopepetana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la Tusker Challenge Cup 2011.
Mchezaji wa timu ya Somalia Abdi Azizi(kushoto), akichuana na mchezaji wa timu ya Zanzibar Heroers Juma Othman wakati wa mchezo huo.
Khalid Ali Maursal wa timu ya Somalia akiruka juu kuokoa mashabulizi kutoka kwa washabuliajiwa timu ya Zanzibar Heroers.

0 comments:
Post a Comment