Social Icons

Tuesday, December 13, 2011

TIP TOP YAWASHA MOTO COCO BEACH

Wanamuziki wa kundi la Tip Top Connection la jijini Dar es Salaam wakitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Godzila akitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.
Mwanamuziki 20% akitoa burudani katika tamasha maalum la kusherehekea miaka 50 ya Uhuru liloandaliwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo katika Ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam juzi.


0 comments: