Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.
Monday, December 5, 2011
MEMBE AKABIDHI TIKETI YA DARAJA LA ECNOMY YA DAR KWENDA DUBAI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment