Social Icons

Wednesday, December 21, 2011

MAFURIKO YALIVYOLIKUMBA JIJI LA DAR LEO


MVUA ambazo zimeendelea kunyesha kwa siku ya pili sehemu mbalimbali nchini, zimeleta maafa makubwa na uharibifu wa mali katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam.

Miongoni mwa maafa hayo hadi tunakwenda mtamboni ni vifo vya watu sita ambao walitajwa rasmi na mamlaka za jiji na nyumba nyingi ambazo zimeharibiwa vibaya na watu kupoteza mali zao nyingi.

Mtandao wa Global ulitembelea sehemu mbalimbali za jiji ambapo ilikusanya matukio ya tatizo hilo kubwa la mafuriko katika baadhi ya picha zifuatazo:



0 comments: