TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars leo inatarajia kukipiga na timu ya Uganda kuwania nafasi ya kuingia fainali ya CECAFA Challenge Cup 2011, baada ya kuifunga timu ya Malawi kwa goli moja bila, Goli ambalo lilifungwa na kiungo wa Yanga Nurdin Bakar katika kipindi cha kwanza cha mpambano huo na kudumu hadi mwisho wa mchezo.
Pamoja na hayo yote swali la msingi linabaki kuwa Stars itaendeleza furaha ya Watanzania leo?
Pamoja na hayo yote swali la msingi linabaki kuwa Stars itaendeleza furaha ya Watanzania leo?
0 comments:
Post a Comment