Social Icons

Wednesday, December 7, 2011

AIRTEL MONEY ‘PESA MKONONI’

Mgeni rasmi akiingia.

Mkurugenzi wa Mahusino wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano, akiwakaribisha wageni.


Mkurugenzi wa huduma ya Airtel money nchini, Kelvin Twissa akifafanua huduma hiyo.

Mtaalamu wa teknolojia ya Airtel money, Isupya Nahingigwa akielekeza jinsi ya kutumia huduma hiyo kupitia simu ya mkononi.


Mkurugenzi wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor akielezea umuhimu wa kujiunga na huduma hiyo.


Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Nduru (katikati) akifurahia jambo kwenye mkutano huo.


Meneja wa Uhusiano wa Multchoice Tanzania, Furaha Samalu, akifuatilia kwa makini mambo yalivyokuwa yanakwenda.


Waziri wa Fedha, Mh. Mustafa Mkullo akisoma risala kwenye uzinduzi huo ambapo alijaribu kuionya kampuni hiyo kutoa huduma bora kama ilivyoahidi na kusema baadaye isijekuleta ubabaishaji.


Mkurugenzi wa Airtel Tanzania akimpa mkono wa pongezi Mh. Mkullo baada ya kumaliza kuzungumza.


Mh. Mkullo akizindua rasmi nembo ya huduma hiyo.


Mh. Mkullo (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Gavana Benno Nduru (watatu kulia) Kelvin Twissa na kulia ni Elangalloor.


Mmoja wa wahudumu wa huduma hiyo.


Sehemu ya wadau waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.


KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua huduma mpya ya Airtel Money ‘Pesa mkononi’ ambayo itamuwezesha mtumiaji wa mtandao huo kupata huduma ya kutuma na kupokea pesa kupitia simu yake. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo uliofanyika Hoteli ya Kempinsk jijini Dar, alikuwa Waziri wa Fedha, Mustafa Mkullo.



0 comments: