YALIYOJILI KWENYE PATI YA MIAKA 10 YA TIP TOP CONNECTION
Wanamuziki wa kizazi kipya ambao waliweza kuungana katika kufungua ndafu hiyo kutoka kushoto ni meneja wa kundi hilo la Tip Top Connection Babu Tale, MwanaFA, Mwanadada maalumu ambaye kazi yake ilikuwa ni kukata, Suma Lee pamoja na mshereheshaji wa sherehe hiyo Castor Dickson ambaye ni mtangazaji wa Clouds TV.
Profesa Jay akilishwa nyama ya ndafu na mwanadada maalumu ambaye alichaguliwa kufanya kazi hiyo.
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Chegge akilishwa nyama ya ndafu na mwanadada maalumu ambaye alichaguliwa kudanya kazi hiyo katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Godzilla akilishwa nyama ya ndafu na mrembo ambaye alikuwa spesho kwa kazi hiyo katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Linex nae alikuwepo katika kulishwa nyama ya ndafu.
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Diamond a.k.a Baba Wema Sepetu akilishwa nyama ya ndafu na mwanadada maalumu ambaye alichaguliwa kudanya kazi hiyo katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi Kipya Aslay akimwimbia shabiki wake katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Msanii
wa muziki wa kizazi Kipya Suma Lee akiburudisha katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Hapa Suma Lee mzuka ulimpanda akaamua kuvua viatu na kumpa shabiki wake ambaye alienda kumpa sapoti jukwani.
Suma Lee akimwagia pesa na shabiki wake ambapo alimvulia viatu akampa pamoja na pesa kiasi cha shilingi 50,000/=
MwanaFA akiwasha moto Ukumbini hapo.
Mashabiki waliojitokeza katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection wakimuangalia Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Chegge wakati akitoa burudani.
Ali Kiba akiwapa kitu roho inapenda mashabiki wake.
Nguli katika muziki wa kizazi Kipya Profesa Jay akishusha mistari katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Godzilla akitoa burudani katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Young Dee naye hakuwa nyuma kuwarusha mashabiki wake katika maadhimisho hayo.
Diamond akiwapa mashabiki wake wimbo wa 'Moyo Wangu' katika maadhimisho ya miaka 10 ya Tip Top Connection.
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Piensii akitoa burudani.
Z-Anto akitoa burudani katika maadhimisho hayo.
Keisha akitoa burudani katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Wasanii wa TipTop, Dogo Janja (kulia) akiwa na rais wa Manzese Madee kwenye tamasha hilo.
Baadhi ya umati uliohudhuria katika maadhimisho ya miaka 10 ya kundi la Tip Top Connection.
Picha kwa Hisani ya Kajuna Blog.
0 comments:
Post a Comment