Mwakifamba (kulia), akitoa neno la shukrani mara baada ya uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa TDFAA, Michael Sangu ‘Mick’ (mbele mwenye suti), na makamu wake, Ramadhani Kinguli, wakiwa kwenye picha na wajumbe wapya.
Wasimamizi wa zoezi wakihesabu kura.
Mjumbe mpya wa TDFAA, Richard Luhende, akitoa neno la shukurani kwa wajumbe.
Mwenyekiti wa TDFAA, Michael Sangu ‘Mick’ (kushoto), akiwa na makamu wake, Ramadhani Kinguli, baada ya matokeo.
Raisi wa shirikisho la wasanii Tanzania Amosi Mwakifamba (kushoto), akiwa kwenye pozi na mjumbe mpya wa TDFAA Richard Luhende (katikati), na Katibu mkuu wa TAFF Wilson Makubi.
Rais wa TAFF, Amos Mwakifamba (kushoto), akiteta jambo na Richard Luhende.
Michael Sangu ‘Mick’ (kulia), akiwa na Mwakifamba.
Baadhi ya wanachama na wajumbe wa TDFAA wakifuatilia uchaguzi huo.
Nafasi ya mwenyekiti ilichukuliwa na Michael Sangu ‘Mick’ ambapo makamu akawa Ramadhani Kingalu. Nafasi hizo mbili hazikuwa na wapinzani.
Nafasi ya wajumbe ilikuwa na wagombea 19 na waliotakiwa kuwakilisha katika nafasi hiyo kitaifa ni wajumbe tisa tu. Walioshinda ni Husna Mageu, Ally Baucha, Simba M. Simba, Joyce Temu, Bianca Timothy, Richard Luhende, Fredy Sumari, Wilson Ishengoma na Paulynas Mtenda.
Uchaguzi huo ulisimamiwa kikamilifu na shirikisho la waigizaji na filamu nchini (TAFF) chini ya wajumbe wake Wilson Makubi ambaye ni Mwenyekiti, Christian Kaureni ambaye ni Katibu, Makame Majamba akiwa mjumbe, Hadija Nyambasi na Maureen Mvuoni, na rais wa shirikisho hilo nchini, Simon Mwakifamba, akiwa mratibu mkuu wa shughuli hiyo.
0 comments:
Post a Comment