Social Icons

Thursday, November 10, 2011

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Shirikisho la Urusi

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kuongea nae

leo Ikulu jijini Dar es salaam. Katikati ni mkalimani Bw Nikita Rassokhin. (Picha na Ikulu)


0 comments: