Social Icons

Monday, November 14, 2011

MVUA kubwa zilizonyesha katika Jiji la Mwanza usiku wa kuamkia leo zimesababisha mafuriko makubwa na kuharibu mali za watu na kusababisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwaza kufungwa.

Mitaa mbalimbali ya jiji hilo imefurika maji na baadhi ya wakazi wa jiji hilo kwa sasa wanahaha kuhamisha familia zao pamoja na mali ndani ya nyumba kutokana na maji kufurika.

0 comments: