Social Icons

Monday, November 14, 2011

ALIYEPIGWA RISASI WAKATI WA VURUGU JIJINI MBEYA AZIKWA

Marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala, ambaye alipigwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya na kuokotwa na Bwana Asajile Lisyele ambaye ni Mwenyekiti wa Bodaboda eneo la Uyole na kukimbizwa katika Hospitali ya rufaa, enzi za uhai wake.

Maombolezo: waombolezaji wakiwa karibu na jeneza lililohifadhi mwili wa marehemu Kelvin Mwalingo Mpangala, ambaye alipigwa risasi njia panda ya Uyole akiendesha pikipiki katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa juma jijini Mbeya.
Bi Neema Sita (wa pili kushoto) ambaye ni mama mzazi wa marehemu Kelvin, akifarijiwa na Mwenyekiti wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jiji la Mbeya, Bwana Elia Jerema (Osama).


0 comments: