Social Icons

Saturday, November 5, 2011

KLINIKI YA SOKA YA AIRTEL RISING STARS YAFUNGWA RASMI DARMkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika halfa ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Rashidatu Kamara akionyesha cheti alichokadhibiwa baada ya mafunzo ya soka ya kimataifa iliyofungwa rasmi jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika halfa ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa shule ya soka wa klabu ya Manchester United Billy Miller akimkabidhi Selemani Bofu cheti wakati wa halfa ya kufunga mashindano hayo iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Selemani Bofu akipongezwa na makocha kutoka klabu ya Manchester United baada ya kuwa mfungaji bora wakati wa mazoezi ya kufunga, katikati ni Paul Bright na kushoto Billy Miller.

0 comments: