KESHO HAPATOSHI LEADERS CLUB, KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA DUNIA DARAJA YA TWANGA PEPETA
Hivi ndivyo vichwa vilivyoshiriki kutunga nyimbo katika albamu ya Dunia Daraja inayotarajiwa kuzinduliwa kesho ndani ya viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Mwijuma Muumini, Saleh Kupaza, Luiza Mbutu, Dogo Rama na Chalz Baba ambaye kwa mara nyingine amebahatika kutunga wimbo unaobeba jina la albamu hiyo.
Kutoka kushoto ni Mwijuma Muumini, Chalz Baba, Luiza Mbutu, Saleh Kupaza na Dogo Rama.

0 comments:
Post a Comment