'HAPPY BIRTHDAY MARIAM AZIZI'Mariam Zizi(kulia), akimrishe keki kwa kinywa chake mdogo wake ambaye ni pia miss Kurasini namba mbili 2011, Naifat Ally katika shere yake ya kuzaliwa.
JUZIKA mdau wa Mateja20, Mariam Azizi alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ndani ya Pub ya Cabocabana iliyopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuliwa na ndugu na jamaa zake wa karibu, sherehe hiyo ilifana vilivyo kwani watu walikula na kupombeka kwa kwenda mbele.
Mariam akimrisha keki Sada Misene.
... akimrisha shostito wake.
Keki yenye umbo la mdomo wa mtu ikiwa mezani tayari kwa mlo wa Birthday hiyo.
Miss Temeke namba tatu 2003, Mariam Omary (kushoto), akirishwa keki kwenye Birthday hiyo.
Uncle Deo naye anibugizwa kipande cha keki hiyo.
... Hassani Moshi naye ali... keki hiyo.
Mwanamuziki wa Top Band Omar Dimpoz akilambishwa kipande cha keki hiyo.
.... kweli tamuuuuuuuuuu
Mateja naye alisikilizia radha kamili ya keki hiyo.
Eeeeh! ....
Gadner ... roho ya Mariam .... akisikilizia.
Mariam & Mariam katika pozi.
...... nasiye tuilikuwepo!!!!
Kitu cha keki bhanaaaaaaa!
Omar akipozi na mtoto Mariam Bara....
Gadner katika pozi
Uncle Deo akiserebuka na miss Kurasini.
... kitu cha keki bhanaaa
Kama kawaida sehem kama hizi watu kama hawa huwa hawakosi!!!
Mambo ya misosi
Sada & Mariam
Eeeh ... tulijiachia!!
Pozi ni kama kawa sehem hizi!
Aaah!!!!! Uncle....!
Mambo ya ...
Gadner & Mariam Azizi
Wadau wakikamua katika sherehe hiyo.
Gadner & Mariam

0 comments:
Post a Comment