Kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Jan Paulsen (kati) akizungumza na wanahabari kwenye Hoteli ya New Africa leo wakati alipozungumzia pambano la timu hiyo na Chad linalitarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. kushoto ni Kocha wa timu ya Chad, Mohamed Oumar Yaya na kutoka kulia ni Meneja wa Bia ya Serengeti Lager, Allan Chonjo na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru.
Monday, November 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment