TAMASHA LA TUSKER ALL STARS 2011 NDANI YA CARNIVO LAFANA VILIVYO NAIROBI KENYA Msanii wa nchini Kenya Jaguar (katika), akitumbuiza kwenye tamasha la Tuskear All Stars, lililofanyika nchini humo katika Viwanja vya Carnivo, ambapo kwenye tamasha hilo kuna wasanii mbalimbali wa kimataifa kama Shaggy kutoka Jamaica, Eve Marekani na Cabo Snoop, wa Angola.
Msanii kutoka nchini Tanzania ambaye nae ni mmoja wa washindi wa shindano la Tusker All Stars 2011, lililomalizika hivikaribuni Peter Msechu akitumbuiza jukwaani hapo na baadhi ya kundi la wanenguaji wa nchini humo muda mfupi baada ya tamasha hilo kuanza usiku.
Msanii wa kike wa nchini humo Amani, akikamua kwenye tamasha hilo.
Mambo yaliendelea namana hii.
Vijana wakichakalika namna hii.
Mashabiki waliofurika kwenye tamasha hilo wakiwa bize ile mbaya.
Wadau wakiwa kwenye pozi ndani ya viwanja hivyo
picha kwa hisani ya Jiachie Blog

0 comments:
Post a Comment