Zitto Zuberi Kabwe (Mb-Chadema), saa chache zilizopita, kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika kuhusu uchaguzi mdogo wa Igunga: “Mahesabu yanaonesha sisi (Chadema) tuna asilimia 45 ya ushindi na CCM wana asilimia 49. Asilimia zingine zimeenda kwa vyama vingine. Hata hivyo, amehitimisha kwa kusema kuwa hawajakubalina na matokeo hayo.
Monday, October 3, 2011
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment