GODWIN GONDWE, ABDULLAH MWAIPAYA USO KWA USO NA MH. IDD AZZAN THE ATRIUMS HOTEL
Mtangazaji wa ITV na Redio One, Godwin Gondwe 'Duble G' (kushoto), akisalimiana na Mheshimiwa Idd Azzan, muda mfupi baada ya kukutana katika Bustani za The Atriums Hotel iliyopo Sinza Afrikasana, ambapo kamera ya Mateja20, iliwanasa wakiwa katika moja ya maongezi yao.
Mh. Idd Azzan (kulia), akiwa katika pozi na Godwin Gondwe 'Duble G', katika Bustani za hotel hiyo.
Mh. Idd Azzan, akigonga tano na Duble G, baada ya kufurahishwa moja ya jambo walilokuwa wakizungumzia kwenye maongezi yao.
... maongezi yaliendelea namna hiyo.
Duble G, akionekana kusistiza jambo kwa Mh. Azzan.
Mtangazaji wa Redio One Abdullah Mwaipaya (kushoto), akifurahia jambo mara baada ya kukutana na Duble G, katika Bustan za Hoteli hiyo.
... maongezi yalinoga namna hii .
Mambo yalikuwa hivi.
Mh. Idd Azzan (katikati), akiagana na watanzaji hao, mara baada ya kumaliza maongezi yao.
Hapa wakipasha vifua kwa chai ya maziwa.
Mwaipaya (kushoto), akijimiminia chai.

0 comments:
Post a Comment