Social Icons

Saturday, October 1, 2011

JAFARAY ALIZALIWA UPYA JANA!Msanii wa Bongo Flava Jafari Ally ‘Jafaray’ (kulia), akiwa kwenye pozi na msanii wa filam Christina Manogi ‘Sintah,’ katika sherehe hiyo iliyofanyika nyumba jirani na anapoishi msanii huyo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.


MSANII wa muziki wa kizazi kipaya Bongo Jafari Ally ‘Jafaray’ usiku wa kuamkia leo ameshereheke siku ya kuzaliwa kwake na kuhudhuliwa na mastaa kibao aliokuwa amewaalika kwenda kujumuika naye katika tukio hilo.

Ishu hiyo ilifanyika nyumbani kwao Kijitonyama jijini Dar es Salaam, ambapo hapakuwa na keki na badala yake aliandaa vinywaji vya kutosha na vyakula tu.


Jafaray (katikati), akiongea na simu kwenye sherehe hiyo huku akiwa katika pozi na Sintah na mmoja wa marafiki zake waliokuwepo mahali hapo.


Producer mahiri wa muziki Bongo, P. Funk Majani (kushot), akiwa katika pozi na Sintah (katikati), na DJ Steve B wa East Africa Radio, mahari hapo.


Mtangazaji wa Clouds FM na mdau wa muziki wa Bongo Flava Babu wa Kitaa (kulia), akiwa katika pozi na Sintah.


Msanii wa filam nchini Jacqueline Wolper (wa pili kutoka kulia), akiwa kwenye pozi na marafiki zake kwenye sherehe hiyo.


Producer wa muziki wa kizazi kipya Bongo Ramaa (katika), akipozi na Babu wa Kitaa na mmoja wa marafiki zao.


Sintah, Jacqueline Wolper katika pozi.


Jafaray wa kwanza kushoto, akiwa katika pozi na baadhi ya wageni wake.


P. Funk Majani, akiwa katika pozi na Sintah.

Baadhi ya waarikwa wa sherehe hiyo wakiwa wamepozi huku wakipata vinywaji na msosi uliokuwa umeandaliwa mahali hapo.


Msanii wa filam nchini Jacqueline Wolper (katikati), akiwa kwenye pozi na Sintah na mmoja ya rafiki zake kwenye sherehe hiyo.


Mwanamuziki wa TOP Band Omar Dimpoz (katikati), akiwa katika pozi na waalikwa wenzake.


Ramaa (kulia), akipozi na meneja wa Top Band Muba, kwenye sherehe hiyo.



0 comments: