Social Icons

Monday, October 3, 2011

DK. KAMFUMU AIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI MDOGO IGUNGAMgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Peter Dalaly Kamfumu, akiwa amenyanyua cheti chake muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika jimbo la Igunga Tabora uliyomalizika jana na matokeo yake kutajwa leo hii.
Msimamizi wa Uchaguzi huo Protace Magayane (kulia), akimpa mkono wa pongezi Dk. Kamfumu mara baada ya kutwaa jimbo hilo.
Msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Protace Magayane (katikati), akitaja matokeo ya uchaguzi huo mbele ya wanahabari.
Mgombea wa uchaguzi huo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye ameibuka kidedea Dk. Kamfumu (kulia), akisaini cheti cha matokeo hayo.



0 comments: