Social Icons

Tuesday, October 4, 2011

SAFARI THEATER GROUP, TWANGA PEPETA NA MAKAMUZI YA MIAKA 50 YA UHURUHili ni kundi linalojishughulisha na burudani ya ngoma za asili linafahamika kwa jina la Safari Theater Group, lenye makazi yake Bungoni Ilala jijini Dar es Salaam, linajumla ya wasichana watano ambao hucheza na kufanya sarakasi kama unavyoona hapo juu, picha hizi zilipatikana juzikati katika tamasha la kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni Dar kwa Udhamini wa kampuni ya bia ya TBL.
Hapa ni hakula kulala
Ndiyo mambo yaliyojili Viwanjani hapo
Inahitaji mazoezi ya kutosha.
Warembo wakitoa burudani


Bendi ya Safari Theater Group, ikiwa kazini.
Warembo hawa wanamazoezi ya kutosha
Wanamuziki wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' Luiza Mbutu (kulia), na Mwijuma Mumini wakikamua kwenye tamasha hilo.
Mpiga Drums wa bendi hiyo Yahya Omar, akiwajibika
Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassani Moshi (wa pili kutoka kushoto), akifuatilia burudani hizo katika viwanja vya Leaders ambapo bendi yake nayo ilikuwa ikijiaandaa kufanya makamuzi mahali hapo.
Mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta Grace Kiiza kinene (kushoto), akiwa katika pozi na mumewe muda mfupi baada ya kushuka kufanya makamuzi kwenye tamasha hilo.
Grace akijimwaya mwaya na kiburudisho chake
Mambo yalikuwa hivi kwa Grace na Mzee wake.


0 comments: