Social Icons

Wednesday, September 7, 2011

SIMU MPYA YA NOKIA DOUBLE DOUBLE YAZINDULIWA

Meneja wa kampuni ya Nokia wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika, Keneth Oyolla, akizindua aina mbili za simu za mkononi aina ya Nokia zinazotumia laini mbili maarufu kama ‘Nokia Dabo Dabo’ jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa kampuni ya Nokia wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika,Keneth Oyolla akizindua aina mbili za simu za mkononi aina ya Nokiazinazotumia laini mbili

PICHA: SUFIANI MAFOTO BLOG

0 comments: