EXTRA BONGO WALIVYOJINAFASI NDANI YA MEEDA CLUB
Pedeshee na mmoja wa wadau wakubwa wa Extra Bongo Mamaa Shuu, akimtunza mwanamuziki wa bendi hiyo, Athanas Mwantanabo, baada ya kupanda jukwaani na kumwaga mvua ya noti mpya zile nyekundu.
A mbapo Bendi hiyo ilitoa burudani zake ndani ya Ukumbi wa Meeda Club Sinza jijini Dar es Salaam jumaosi ya wiki iliyopita.

A mbapo Bendi hiyo ilitoa burudani zake ndani ya Ukumbi wa Meeda Club Sinza jijini Dar es Salaam jumaosi ya wiki iliyopita.

Wanenguaji wa Extra Bongo waliotokea Twanga, kutoka kushoto, Aisha Madinda, Otilia Boniface na Mwantum Athuman wakifanya makamuzi leo alfajili.
Mnenguaji wa bendi hiyo, Mwantum Athuman ‘mwenye blauz nyeupe’ akiserebuka na mashabiki wa bendi hiyo.
Mashabiki wa Extra Bongo wakiserebuka.
0 comments:
Post a Comment