KICHENI PATI YA NARGIS MOHAMED FUNIKA BOVU!!!!
Miss Tanzania 2003 Nargis Mohamed, akiwa kwenye pozi kwenye Ukumbi wa Karimjee Posta jijini Dar es Salaam, katika mchakato wa kufanikisha Kicheni Pati yake, iliyofanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo anatarajia kufunga pingu za maisha Septemba 24 mwaka huu kwenye Ukumbi wa The Star Ron uliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, na mme wake mtarajiwa Idd, ambaye ni mfanyakazi wa Benki ya Standard Chart.
Mambo yalikuwa hivi katika ukumbi wa Karimjee ambapo baadhi ya washereheshaji wa shughuli hiyo waliingia kwa mbwembwe za pikipiki kama inavyoonekana. Nargis akiwa katikati ya pikipiki hizo muda wa kuzama ukumbini hapo.

0 comments:
Post a Comment