GLORIOUS CELEBRATION BAND PHASE III-AT THE ATRIUMS HOTEL SINZA, AFRIKASANA-LIVE-THIS FRIDAY 9 SEPTEMBER 2011
WATU wa Mungu mnakaribishwa sana katika Ukumbi wa The Atriums Hotel mapema leo, ambapo kikundi cha kwaya ya vijana wanaofanya vyema kumtangaza Mungu kwa jia ya nyimbo, ndugu zenu wapendwa Glorious Celebration, watakuwepo mahali hapo kuanzia mishare ya saa 12:00 jioni, wakimsifu Mungu kwa njia ya uimbaji.
Glorious Celebration ni band inayopiga muziki LIVE kila Ijumaa katika Hotel hiyo. Ijumaa hii watakuwepo kuazia saa 12 jioni mpaka saa 10:00 usiku ndani ya kiwanja hicho cha kisitaarabu ambapo msosi pia unapatikana ndani ya Hoteli hiyo
kwa bei nafuu sana.
Mbali na usikilizaji utaweza kujinunulia Audio CD yao kwa bei nafuu sana.
Ukitaka kuangalia matamasha yaliyofanywa na Glorious Celebration tafadhali tembelea MATEJA20.BLOGSPOT.COM kila kukicha.
Kwa mahitaji ya kutengenezewa matangazo na logo mbalimbali jaribu kucheki na RUMA (Rulea Sanga-Mr Ru), mpigie +255 85 15 23 au email: ruleabeat@yahoo.com

0 comments:
Post a Comment