CHANTE MOORE, BARNABA NA LINAH W ALIVYOPAGAWISHA MOVENPICK HOTEL
Mwanamuziki kutoka pande za kwa Obama,Chante Moore, akiwapagawisha mashabiki wake katika onesho maalum lililoandaliwa na uongozi wa Chaice FM kwa ushirikiano wa Clouds FM ndani ya ukumbi wa Movie'n Pick usiku wa kuamkia leo.
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chanten Moore, atumbuiza jukwaani hapo na wanamuziki wake muda mfupi baada ya kupanda.
Mtangazaji wa Clouds FM Dina Marios (kulia), akiwa kwenye pozi la pamoja na Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Mwasiti Almasi katika tamasha hilo.






0 comments:
Post a Comment