Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya Jaguar akifanya makamuzi na dada yetu, katika Tamasha la Hapiq Nation, lililofanyika jana Coco Beach Masaki jijini Dar es Salaam.
AY (kushoto), akitowa sapoti kwa Jaguar katika tamasha hilo.
Baadhi ya Mabaunsa wakimzibiti kijana mmoja aliyedaiwa kukwapua simu katika fukwe hizo.
Mabaunsa hao wakimbuluza kijana huyo tayali kwa upekuzi zaidi.
Kijana mwingine naye akiokolewa na Askali baada ya kupigiwa kelele za mwizi katika fukwe hizo.
Msanii kutoka nchini Kenya Jaguar akifanya makamuzi jana katika tamasha la Zantel Hipiq Nation, lililofanyika katika fukwe hizo.
Msanii wa Hip Hop, Romamkatoriki, akionyesha uwezo wake pande hizo.
Jaguar, akiserebuka na dada yetu mara baada ya kuomba mrembo wa kujiachia naye pande hizo.
Romamkatoriki akiwanogesha mashabiki zake.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kwenye tamasha hilo wakifuatilia kwa makini.
Wakati tamasha hilo likiendelea wengine walikuwa wakijirusha pembeni kabisa mwa fukwe hizo.
AY naye hakuwa nyuma kunogesha mashabiki zake.
Kundi la Wanaume Halisi, likiongozwa na Juma Nature (wa pili kutoka kulia), likishambulia jukwaa hilo kwa stairi ya mapanga shaaaaaa.
Mashabiki wengine walijaa mitini namna hiyo.
Rehema Fabiani & Amisuu Malk nao walibambwa wakijiachia kwa zamu nyumbani kwao Kinondoni jijini Dar.
Sinyolita naye hakuwa nyuma kuweka pozi pande hizo.
Juma Nature, akicheza na kamera namna hiyo.

0 comments:
Post a Comment