BRAKING NEWS LIYUMBA HURU LEO
Liyumba katika katika picha.
Habari za uhakika tulizo nazo mateja20 ni kwamba, aliyekuwa Kibosile wa Benki Kuu ya Tanzania 'BOT', Amatus Liyumba leo majira ya saa 4: 45 asubuhi ameachiwa huru, baada ya kukamilisha kifungo chake cha miaka miwili alichokuwa amefungwa katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam akidaiwa kutumia vibaya mali ya Umma juu ya ujenzi wa magorofa pacha ya Benki hiyo yaliyopo Posta jijini, Dar.

0 comments:
Post a Comment