Elius Barnaba (wa tatu kushoto), akiwa amekumbatiwa na mmoja wa wadau hao Hamza, muda mfupi baada ya kukutana kwenye fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam, jioni ya leo, wengine ni Antony,Farida,Zagaro na Bosco.
Barnaba akisalimiana na Antony katika fukwe hizo.
Wadau hao wakiangali mnala wa Samora katikati ya jiji la Dar
Zagaro akipoza mwili kwenye Swimming Pool, nyumbani walipofikia.
Hapa wadau wakiwa Kiwangwa Bagamoyo kwenye moja ya mizunguko yao.
Wadau wakitafakali jambo.
Msanii wa Muziki wa dansi wa bendi ya FM Academia Jesus (katikati), akiwa kwenye pozi na Hamza na Farida Mbaraka, ndani ya Hoteli ya Johns bag Sinza jijini Dar es Salaam leo.
WADAU wa Mateja20, kutoka pande za Buchosa Sengerema jijini Mwanza, mapema leo wamebahatika kukutana na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Elius Barnaba, maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, ndani ya fukwe za Coco, ambapo walikuwa wameenda kupunga upepo mahari hapo.

0 comments:
Post a Comment