WAREMBO wataoshiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika bwawa la Viboko lililopo katika Hifadhi ya Wanyama pori la Mikumi mkoani Morogoro jana, walipotembelea hifadhi hiyo kujionea wanyama aina mbalimbali ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kuona vivutio vya utalii nchini.
Saturday, August 13, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment