Ijumaa iliyopita mhusika wa filamu za Kibongo, Wema Abraham Sepetu alijiachia na shabiki wake Maureen wa Mbezi Beach, Dar.
Wawili hao walifurahia msosi na huduma za maana katika Hoteli ya The Atriums ambapo Wema alishindwa kujizuia na kuomba kulala mahali hapo.
Hata hivyo, uongozi wa hoteli hiyo ulimuahidi kujiandaa na atakapokuwa tayari afike mahali hapo kwa ajili ya kufanikisha ombi lake.
Baada ya mpango mzima uliosababishwa na gazeti hili, Wema alikuwa na haya ya kusema:
“Msosi na huduma za The Atriums ni bomba kinoma na huwezi kufananisha na hoteli nyingine yoyote.”

0 comments:
Post a Comment