Social Icons

Friday, June 10, 2011

JICHO LETU MITAANI

Mrembo aliyesimama vyema katika video ya wimbo wa Masogange wa Belle 9, Agnes Gerald, akiwa katika pozi tata nyumbani kwake.
Sajenti akiwa katika pozi.

Miss Utalii Dodoma 2006, Rosemina Mollel akipozi.
'Ukimwona nyani mjini jua anafugwa'

Nyani huyu alinaswa na kamera yetu mitaa ya Afrikasana Sinza.

0 comments: