Wasanii wakionyesha kipaji mbele ya majaji
PICHANI JUU: Majaji wa shindano wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza usaili huo kama wanavyoonekana, kutoka kushoto ni Blandina Chagula ‘Johari’ na Mayasa Mrisho ‘Maya’, Ally Yakuti na Halfani Samiri.
Usaili wa kusaka wasanii wenye vipaji ambao watacheza filamu mpya ya Kampuni ya Game First Quality unaofanyika ndani ya Ukumbi wa Grand Villa bado unaendelea, leo ilikuwa ni sehemu ya pili.
Hapa anaonekana kijana Sam akichukua tukio zima

0 comments:
Post a Comment