Miss Tabora 2011, Flora Michael (katikati), akiwa kwenye pozi na mshindi wa pili Maua Kimambo (kushoto), na mshindi wa tatu Dalilah Gharib
MSHINDI wa kwanza kwenye kinyang'anyiro hicho amejinyakulia zawadi ya Dell Laptop yenye thamani ya sh, laki 7,000,00, na kusoma kwenye chuo cha Utalii Msoma ambapo thamani ya masomo hayo ni shilingi laki 3,000,00, huku mshindi wa pili naye akipokea Dell computer ya sh 6,000,00 na Elimu ya Utalii kwenye Chuo cha Tabora. kwa thamani ya sh. 2,000,00 na mshindi wa tatu akiondoka na Subwoofer na dvd player vyenye thamani ya sh. 2500,00 na kuapata elimu ya Utalii kwenye chuo cha Msoma.
Mashindano hayo yalifanyika ndani ya ukumbi wa New Royal Garden mjini hapo huku wasanii wa muziki wa Kizazi kipya Amini H Mbizo, Nash D, Bekah.na Steve R&B wakimwaga burudani pande hizo.
Kwa mujibu wa maratibu wa kinyang'anyiro hicho amesema kwamba washindi hao wata wakilisha mkoa wa Tabora katika shindano la kanda mnamo Juni 24 mwaka huu mjini
0 comments:
Post a Comment