Social Icons

Monday, June 6, 2011

MATEJA20 MIX, MANDELA ATIA AIBU

Mnenguaji Bakari Kisongo ‘Mandela’, akionyesha "machejo".
Mrembo ambaye jina lake halikupatikana mara moja, akiwa amepagawa na muziki.
KAMA ilivyo ada, mtandao huu namba moja kwa habari na burudani hapa Bongo, kamera yetu iliingia mzigoni kutafuta mawili-matatu kwa ajili yako wewe msomaji wetu na mfuatiliaji wa habari zetu. Yafuatayo ni baadhi ya matukio hayo Viwanja vya Leaders na Billicanas Club:


Staa wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ na Agness Jerald wakiserebuka.

Wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Shabani Katwila Q-Chillah (kushoto) na Raheem Rummy Nanj ‘Bob Junior’ wakifuatilia shoo ya Twanga Pepeta jana Jumapili viwanja vya Leaders.


Mnenguaji wa Twanga Pepeta, Abilay Mzungu, akionesha ufundi wake.

Side Boy, mnenguaji wa Twanga Pepeta akiwa kazini.

Msanii wa kizazi kipya, Linnex, akikamua jukwaani Billicanas Club.


Belle 9 akitoa burudani.

Linnex akilishwa keki na mrembo mmoja.

Bob Junior (kushoto) akiwa na mwimbaji wa Twanga Pepeta, Chalz Baba (kulia) na TX Junior (katikati).

0 comments: