Social Icons

Monday, June 6, 2011

MBOWE AACHIWA HURU

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe (wa tatu kushoto) akitoka maeneo ya mahakama mara baada ya kuachiwa huru.

...Nje ya mahakama hali ilikuwa hivi.
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo ameachiwa huru baada ya kesi yake iliyokuwa inamkabili ya kutotii mahakama kusikilizwa na hakimu mkazi mfawidhi, Charles Magesa katika mahakama ya jiji la Arusha na baadae kuhairishwa mpaka Juni 24 mwaka huu. Kwa habari zaidi kuhusu tukio hili usikose kusoma Gazeti la Uwazi hapo kesho.


Mbowe (katikati) akimsikiliza kwa makini wakili wake, Method Kimomogoro (kulia) kabla ya kuanza kusikilizwa kesi yake mahakamani hapo.


Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akiwa mahakamani, kulia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zito Kabwe.

0 comments: