nyama choma, mpango mzima...
PICHANI JUU: Mmh..! Huyu ni mtu bwana, lakini amevaa katuni fulani hivi tena ndiye anayetoa tiketi za mlangoni!
Naam, kama mnavyofahamu kuwa leo ndiyo siku yenyewe ya mashindano ya nyama choma ambapo event hiyo imechukua nafasi ndani ya Viwanja vya Posta Kijitonyama, Dar es Salaam.
Sasa hebu tembeza macho yako taratibu kwenye mtandao huu unaoongoza kwa burudani na matukio mbalimbali hapa nchini.
Jiko namba mbili lakini wote wakiwa katika mashindano.
Huyu yeye anaandaa nyama kabla ya kuzichoma
Mashindano ya Pooltable hayakuwa nyuma.
0 comments:
Post a Comment