Basi hilo likiwa limekwama baada ya kuparamia duka.
Basi la abiria lenye namba za usajili T 892 ADU limeparamia duka moja la kuuza bidhaa mbalimbali vikiwemo vinywaji na kujeruhi watu watatu na kuharibu mali.
Tukio hilo lilitokea jana maeneo ya Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilisababishwa na gari hilo kukatika breki ghafla.
Sehemu ya mbele ya basi hilo ikiwa imeharibika vibaya.
Wamiliki wa duka hilo wakipanga vitu mara baada ya gari hilo kuondolewa
Basi hilo likiwa linaondolewa eneo la tukio.
Askari wa usalama barabarani akiteta jambo na wananchi katika tukio hilo.
Likiwa linavutwa kwa safari ya kwenda kituo cha polisi
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.
Nguzo za umeme zilizong’olewa na basi hilo baada ya kukatika breki
Muuza duka akiwa anajiokoa na ajali hiyo

0 comments:
Post a Comment