

Pichani juu washiriki wakijiandaa kwa ajili ya zoezi hilo.
SIKU ya 30 ndani ya 'M-Net BIG BROTHER AMPLIFIED' ambapo washiriki walikuwa wanajiandaa kwa ajili ya zoezi lililokwenda kwa jina la “PUSH-ME-PULL-YOU”. Lengo ikiwa ni kuwajenga kufanya kazi kwa pamoja.
0 comments:
Post a Comment