Msanii wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya rafiki zake wakipata kinywaji kwenye Serengeti Fiesta Film viwanja vya Leaders Club, Kinondoni.
Mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Ramadhani Hassani ‘Dogo Rama, akiwa na mpenzi wake Linna ndani ya ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni.
KAMERA yetu jana ilizunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Dar, ili kukuletea kila kilichojiri ndani ya wikiendi hii. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyonaswa na kamera ya mtandao huu:
Msanii wa kundi la filamu la Jumba la Dhahabu, Joan Matovolwa, akiwa katika pozi.
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja akiwa katika hekaheka za wikiendi.
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Janeth Isinika, akiwa ametupia jezi lenye jina la mchezaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi.
Mastaa wa sanaa ya muziki nchini, Chalz Baba (kushoto) Alawi Junior na TX Junior wakiwa katika pozi.
Waimbaji wa kundi la Mapacha Watatu, Kalala Junior (kushoto), Chokoraa (kulia) na mpiga solo wa Twanga Pepeta, Miraji Shakashia (katikati) wakipata msosi maeneo ya American Chips usiku wa jana.
Wadau wa Twanga Pepeta wakiwa kwenye ufukwe wa Mbalamwezi Beach jana wakati bendi hiyo ikifanya makamuzi.
Mastaa wa filamu ya “Zawadi ya Birthday”, Jacob Steven ‘JB’ na Shamsa Ford wakiwa pamoja.

0 comments:
Post a Comment