Social Icons

Tuesday, June 14, 2011

GLOBAL HILARY CLINTON AMTEMBELEA RAIS JK IKULU


Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.


Hillary Clinton akiwa katika picha na Rais Kikwete walipokutana leo Ikulu kwa mazungumzo. Picha na Freddy Maro- Ikulu

0 comments: