Julieth (kulia) na dada yake Queen wakikata keki ya ndafu.
Julieth (katikati) akiserebuka.
SHEREHE ya kuzaliwa kwa Miss Progress International wa 2010/11, Julieth William, aliyetimiza miaka 21ambayo imehudhuriwa na watu wa aina mbalimbali imefana na kuwafanya waalikwa kufurahi vilivyo.
Tukio hilo lilifanyika jana nyumbani kwao Kimara jijini Dar es Salaam ambapo Julieth alifanya bethdei yake pamoja dada yake kutokana na kuzaliwa miezi inayofanana ambapo Julieth karibuni atakuwa safarini kuelekea Italia kwa ajili ya uzinduzi wa Miss Progress International hivyo kuamua kufanya mapema kabla hajaondoka.
Julieth na Queen wakikata keki.
…..Wakilishana keki.
Mama Julieth (kushoto) na mama yao mdogo wakilishwa keki.
Msanii wa filamu Bongo, Kenneth, akilishwa keki kwa niaba ya marafiki.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini.
Julieth akiwashukuru wageni waliohudhuria.
ulieth na Queen wakipakua chakula.
0 comments:
Post a Comment