Social Icons

Friday, June 10, 2011

BALOZI SEIF ASHIRIKI HARAMBEE YA ELIMU, MAJI NA AJIRA

Picha ya kwanza juu: Mhe. Balozi Seif Ali Idd (MBM) – Makamu wa pili wa Rais, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, akipeana mkono na Mama Margareth Chacha – Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania wakati wa harambee ya Elimu, Maji na Ajira, Tabora na Mjini Magharibi.

Picha ya pili juu: Kushoto ni Mhe. Balozi Seif Ali Idd (MAlign CenterBM) – Makamu wa pili wa Rais, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Eng. Athuman R. Mfutakamba – Naibu Waziri wa Uchukuzi akipeana mkono na mdau/mchangiaji wakati wa harambee ya Elimu, Maji na Ajira, Tabora na Mjini Magharibi, na kulia kwake ni Mhe. Prof. Makame M Mbarawa – Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia akifuatiwa na Bw. Yusuph Mohamed – Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, aliyesimama nyuma ya Mhe. Balozi Seif Ali Idd ni Mhe. Dkt. Hussein A. Mwinyi – Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

0 comments: