Mmoja wa wanenguaji wa Welawela akifanya mambo ukumbini hapo.
Kitu T, nao wakionyesha umahiri wao baada ya kupanda jukwaani.
BENDI ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kujinafasi’ usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi ndani ya ukumbi wa Mzalendo Pub uliopo jengo la LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Onesho hilo lilisindikizwa na makundi ya wamwaga radhi maarufu jijini ya Welawela na Kitu T.
Mmwaga radhi wa kitu T, akiwajibika.
Wadau wa burudani wakifuatilia vimbwanga hivyo.
Mashabiki wakimshangilia mmwaga radhi wa Welawela.
0 comments:
Post a Comment