skip to main |
skip to sidebar
WASANII WAUNGANA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA TANGANYIKA
Wasanii wa Bongo Fleva wakiandaa wimbo maalum kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, ndani ya Uwanja mpya wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Muongozaji wa video hiyo kutoka Visual Lab, Adam akifanya vitu vyake
0 comments:
Post a Comment