Mkoa ambao umefungua dimba ni Arusha jina la mkoa na idadi ya warembo waliobahatika kujiunga na kambi kwenye mabano. Arusha(2) Morogoro(3),Dodoma (3),Dar es salaam (10) mkoa uliobaki ni Mwanza ambapo timu ya miss Universe itaenda kesho kwa udhamini wa ndege ya Precision air kwa ajili ya usaili huo.
Mkurugenzi wa Compass Communications ambaye pia ndiye Mratibu mkuu wa Kitaifa katika mashindano haya Maria Sarungi Tsehai amesema ya kuwa tofauti na miaka ya nyuma mwaka huu pamoja na kupata udhamini mkubwa wa Vodacom lakini pia kumekuwa na changamoto katika kuchagua warembo kwani ni wengi waliojitokeza na wanashindana kwa vigezo.
Ameongeza kuwa kwa mwaka huu wamejitokeza warembo zaidi ya 60 katika kuwania nafasi hiyo ya kujiunga na kambi ya Miss UniverseTanzania ambapo inatarajiwa kuanza hivi punde katika hoteli ya Golden Tulip.
“Mbali na kutafuta warembo tu, Miss Universe
Mashindano ya Miss Universe Tanzania imedhaniwa na Vodacom pamoja na Golden Tulip, Chanel Ten, Magic FM, The Citizen, Precision Air, Coca Cola, Dar Life, Jamii Forums, MH Gallery, Dodoma Hotel, Triple A, Vayle Springs, New York Film Academy, Shear Illusion,
Washiriki walioteuliwa kujiunga na kambi ya Miss Universe Tanzania 2011, wakiwa katika pozi la pamoja.
Baadhi ya warembo wakipozi na Miss Universe 2010, pamona na Mkurugenzi wa shindano hilo, Maria sarungi.
Mrembo wa morogoro, akipozi mara baada ya kuteuliwa kujiunga na kambi ya Miss Universe Tanzania 2011
Mrembo akifanyiwa usaili katika harakati za kuwania nafasi ya kuingia ishirini bora na kujiunga na kambi ya Miss Universe Tanzania 2011.
0 comments:
Post a Comment